Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 489
Guys, achana na story kwamba mimi ndio yule mtz aliyewauza watz, haihusiki na mimi, nilichangamsha genge. Nilirudi Tz ili nipate mrembo wa kwenda naye duniani, nikarudi mrembo akazingua nikaona sio kesi, nikasajili namba mpya. Hii namba mpya iko serious aisee, kwanza anapiga kazi zaidi ya Mafwele yaani akigundua kuna mtu nimemtia sound huko atakipata cha mtema kuni.
Picha linaendelea nikamuhakikishia mrembo kwamba yeye ndio mwenye nyumba, funguo na kila kitu cha hapa nilipopanga anacho yeye basi anapaita kwake. Kumbuka nina kama wiki hivi niko naye, nikasema naam nataka mrembo wa hivi ambaye anajua vyangu ni vyake. Basi bwana si unajua kuna wanostruggle kupata hata bundle, muhuni nawaambia wajiunge post paid la mwezi na nalipa sina sihda, watoto wanajua ewaa mbaba si ndio huyu!
Kumbuka nikisha prove kwamba nimetoka Marekani kuja hapa mara moja tu kutafuta mke nateleza tu. Kwa mkwara nawaonesha account yangu ya Marekani inadola ngapi ambapo wakipiga hesabu wanaiona tajiiiri wakati nikiwa Marekani ukifanya approximation nakuwa Homeless. Basi bwana kwenye one and two mrembo mmoja nikaanza kumuhudimia kila zaga. Bongo ukihudumia unaonekana wewe unazo, kumbe ni hela ya side dishes kwa wenzetu.
Baadae nikaona mama mjengo hayupo ngoja nivute kitu kipya. Mimi formula yangu ni moja, nikikufiuata leo, ukavua chupi leo thamani yako inaongezeka. Naheshimu wanaoniamini kuliko wanotaka kunijua ili waniamini. Sasa huyu mrembo alivua the first day nakutana naye so nikampa VIP treatment. (Naheshimu sana mtu ambaye anajua naniliu ni jambo muhimu kwa wanaume)
Kwenye one and two mrembo nikamwambia timba makao makuu... hapo nishajipanga, American games kama zote na michezo ya hatari hatari mzee wenu. Mtoto anaingia makao makuu kumbe mama mjengo alishanotice vitu haviko sawa akawa anafanya umafwele wake. Hili ingizo jipya limeingia ili tucheze kimarekani mama mjengo naye kaingia...
Hakuna kuachana akamfanyia bonge la movie mimi nimekaa naangalia tu, hapa niko na chupa ya hennessy ambayo tulipanga kuitumia kwenye game naitumia mwenyewe maana yule ingizo jipya amesepeshwa na mama mjengo ameenda kwenye harakati zake.
Sema nimewaza sana hadi kichwa kinauma so nikagonga paracetamol, hivi hazina madhara ukipiga na vikali?