Uchaguzi 2020 Hivi pamoja na "promo" yote ya mabango yaliyotapakaa nchi nzima, ni kwanini CCM inapelekwa mchamchaka na Tundu Lissu?

Sababu CCM mpya imewaletea njaa na kubomoa mioyo ya watz Lissu ameahidi kurejesha furaha na kuondoa njaa, hata wwe utamfata nani hapo.
 
Dikteta huwa tumia watumishi wa umma kuonekana kuwa anapendwa sn
Dikteta wote uwekeza kwenye propaganda zaidi kwa futereless people means wanyonge coz Hawa ni rahisi kuwapropaganda,unakuta masikini anashabikia ndege Hali hata ukiwauuza ukoo mzima huwezi pata nauli ya kupandia ndege
 
T
Hahahaaa endelea kujifariji! Eti Tinde iwe na watz wanaotufautiana sana mtizamo na Kagongwa, Kahama na Nzega na wakati hilo ni eneo moja linalofanana changamoto?
Danganya maccm wenzako tu
Unaweza kuturushia clip ya tinde na hayo maeneo mengine tafadhali.
 
Kuhusu umati wa watu anao ukusanya, hiyo ni sawasawa na tanker la petrol likianguka umati linaokusanya na madhara yake - waulize Morogoro mwaka juzi.
Nilitaka kukusifu kwa ubunifu ulioandika huko juu.
Huu mstari wa mwisho ukaharibu kabisa kila kitu ulichoweka kwenye bandiko zima.

Hata hivyo, hiyo dhana yako ya mwanafunzi anayelazimisha A ni ya kipuuzi kabisa.
Hakuna mwanafunzi mwenye uwezo mkubwa anayehangaika kiasi hicho kuitafuta A.
 
mnatiana ujinga humu na huko twitter mkija kupigwa KO mnasingizia kuna wizi.

ndio maana wananchi huwa hawaendi na nyinyi wakati kama huo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nabaki nacheka sana,kuna vilaza walikuwa wanatembea nchi nzima eti wanaweka mitambo.

Nina mashaka na elimu zao hakika.

Huu mwaka hawatakuja usahau maisha yao yote

Alisema TL hatujawahi kupata rais mshamba kama JPM.Aibu amigo
 
Hivi wewe unaona kweli mabango yaliyozagaa nchi nzima, yana uwiano kati ya yale ya CCM VS CHADEMA?

Hivi wewe hujaona "upendeleo" maalum unaofanywa na Televisheni yetu ya Taifa TBC, katika utangazaji wa kampeni, kwa kumpendelea dhahiri mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli, kwa kumpa airtime kubwa zaidi?
 
Fedha yote ya kampeni CCM ni fedha za umma. Hii inazidisha hasira kubwa sana. Kifo cha CCM kwa lugha yeyote ile ni tarehe 28 Oktoba 2020.
Kwani hawapati ruzuku na ikumbukwe wana wabunge wengi kuliko chama kingine.
 
Watanzania tutamuonesha kama tunajilewa hawezi kutumia pesa zote hizo kwa kufanya kampeni wakati alikuwa na mda wa kufanya mema kwa nchi na watu kumoenda pasipo kutumia nguvu kubwa kama anavofanya yy
 
Over product promotion is a sign of questionable quality. CCM are a poor quality product, and thus, needs heavy promotion.
 
Katiba mpya ndo inawaangusha viongozi wangu wa CCM yaani hilo tu linatosha kujaza kura.
 
wanakata pumzi mapema saaana hawaamini macho yao
 
CCM tumewakataaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…