Inategemea unaijengea wapi mkuu!! Maana gharama za ujenzi zinapishana kutoka eneo moja hadi lingine!! Kwa aliesema haipungui mil. 800 yuko sawa kabisa!! Iwe kwa mkandarasi au ukomae mwenyewe bado itavuka 8000.
Kwa mujibu wa oxfam, worldvision, kuna shule ambayo ni ya kawaida sana ila wamesema darasa moja limegharimu mil. 75. Kuanzia msingi hadi kuezeka!!
Sasa hapo kuna ghorofa 1 hivyo inaweza kuwa sawa na madarasa 10.