Hivi Nyuki Wanahitaji Kujengewa Chuo Kikuu na Serikali?

Hivi Nyuki Wanahitaji Kujengewa Chuo Kikuu na Serikali?

wakati mwingine muwe mnawapa ccm maua yao, si kila kitu wanachofanya ni uhuni. Umewahi kusafiri kwenda singida? Angalia kando ya barabara ukiwa mkoani singida utaona asali kwa wingi ikiuzwa. Mmekariri singida ni alizeti na vitunguu tu, kuna bidhaa zingine zipo, kuna viazi vitamu, uwele, mtama, karanga na mazao mengine mengi tu. Kuna kijiji cha nyuki ndani ya manispaa ya singida, hivyo basi kujengwa chuo cha nyuki huko ni muafaka, nyuki wapo kwa wingi sana wanazurura kwa makundi yao wakitafuta pa kutua watengeneze asali
Ndio kinatakiwa Chuo Kikuu Cha nyuki? 😄😄
 
Mwenye saini kwenye noti za Tanzania kwao ni Singida, kwanini kisijengwe kumpongeza kusaini noti zetu? Na kijengwe na cha nswa(kumbikumbi) pia.
 
Haimaanishi hakutokuwa na programmes zingine.
Serikali inajenga Chuo Kikuu cha Nyuki mkoani Singida, lengo ni kutoa elimu ya sayansi ya masuala ya nyuki ambayo itasaidia watu, pia lengo lingine ni kumuenzi Liti Kidanka “Malkia wa Nyuki” aliyepambana vita na Wakoloni wa Ujerumani kwa kutumia nyuki.

View attachment 3329038
 
Sasa unashangaa nini Mimi ni mkosoaji lakini hapo ni pongezi Wacha CHUO kijengwe Tupate ujuzi na maarifa ya kina katika mazao ya nyuki BONGO google vyuo vya nyuki Marekani au Russia au South Africa
 
Serikali inajenga Chuo Kikuu cha Nyuki mkoani Singida, lengo ni kutoa elimu ya sayansi ya masuala ya nyuki ambayo itasaidia watu, pia lengo lingine ni kumuenzi Liti Kidanka “Malkia wa Nyuki” aliyepambana vita na Wakoloni wa Ujerumani kwa kutumia nyuki.

View attachment 3329038

Labda mwandishi amewanukuu vibaya.huwezi jenga bees university wakati sua wapo
 
Back
Top Bottom