ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,088
- 84,978
Serikali inajenga Chuo Kikuu cha Nyuki mkoani Singida, lengo ni kutoa elimu ya sayansi ya masuala ya nyuki ambayo itasaidia watu, pia lengo lingine ni kumuenzi Liti Kidanka “Malkia wa Nyuki” aliyepambana vita na Wakoloni wa Ujerumani kwa kutumia nyuki.