Hivi nyie wenzangu mliooa watumishi 24/7 kazini raha ya ndoa mnaipata wapi?

Leo asubuhi nimepata wasaa wa kutembelea rafiki yangu comrade wangu wa siku nyingi, nimemkuta yuko na pilikapilika za kufua nguo zake za kesho kazini na huku anaanda breakfast.

Kumuuliza kulikoni kasema wife siku hizi anapewa overtime ya jmosi na j2 kwa hiyo anarudi saa 12 jioni, niliguna, nikajiuliza hivi pesa na ndoa kipi muhimu?

Alimkataza msichana wakazi kwasababu watoto wote 4 wako shule za bweni mpaka likizo ndo msichana wakazi ndo anaruhusiwa kuja, nyumba kubwa anakaa peke yake kama masikini mpweke, nikaona ndoa hii haina maana kama ni utelezi si masingo maza wamejaa kila mtaa kwanini nipate "psychological torture" ya kujifanya nina mke wakati naonana nae masaa tu afu usiku na amechoka mara 100 nioe wa form 4 failure ila ile dhana/matiki ya kuoe itimie.

Nimemkataza asiniandalie chai nimeshiba baada ya kuona anangaika, na muda wa stori hana nikamuaga kwasababu niliona anaona aibu kutoa nguo za mkewe kuzifua pia niliona nguo kwenye beseni za kike, looh!
Kama anampenda mke wake afike ofisi ya utumishi akutane na meneja utumishi na amuulize kuhusu taarifa za overtime kwa mkewe.Akifika mapokezi asieleze dhamira yake zaidi aseme ni suala binafsi na akomae hivyo na hata wakimuuliza yeye ni nani asiseme ukweli adai yeye ni mwananchi katika eneo husika.Asiporizika na majibu ya meneja utumishi (Human resource manager) afike ofisi ya Mkuu wa wilaya.Akijiridhisha na majibu, uamuzi ni wake.Akigundua anadanganywa na mkewe aje atupe mrejesho hapa au pale kwa mzee Uwesu mkaanga njugu
 
Unajua hawa wanawake ili uishi nao..lazima uwe na ka ukatili kidogo na kumuonyesha kuwa unaweza kushi bila yeye....hii tabia ya kuwanyenyekea na akisha kuzalia ndio akuburuzeee Mimi kwangu nimeshakataa mzee...binafsi wife alikuwa mbali na Mimi...kwa kuwa Mimi ndio nilipata Chaka lingine la kuhangaikia na maisha...nilimwambia malizia Huo Mkataba wako wa miezi mitatu ili upate stahiki zako za mifuko ya kijamii then uje huku...ila kama hautakuwa tayari niambie nielewe...ndani ya hiyo miezi mitatu alikuja na alipomaliza akaja Mazima ...nipo nae hapa.anafua na kupika....Mimi kwa kifupi ananielewa siogopi wala siwazi kuishi bila yeye....ni ujinga...usipokuwa makini hawa watu watakutesa sana...

Atakuaga yuko overtime kumbe anagongwa na mwana mwingine... halafu ukimuuliza eti overtime...overtime ya nyokoooooooo
Exactly na mimi hiyo perception yako na ipanda sana kuna wakati naitumia.
 
Aaah anazingua sijui anawaonaje single mother, sio kauli nzuri aliyotumia kabisa
Naomba mnisamehe kama ni mewaudhi....ila sisi wote tukemei kitendo cha usingo maza unamadhara kibao katika watoto na jamii kwa ujumla
 
Wanaume wanaume.

Mimi kamwe sitakubali kuishi kwa uchungu kisa pesa au mali.

Jambo la kwanza nitambwambia aachane na overtime, akikataa na akaendelea kuwa mkaidi....nitamwambia achague kati yangu au overtime...

Baada ya majibu yake ninafanya maamuzi ya wazi.

Yanini uwe na dunia nzima lakini ukawa mtumwa wa mali bila furaha?
Brother kuwa realistic,

Four kids means wapo kwenye mahusiano kwa zaidi ya decade (10yrs). Sio mchezo!

Ukipiga mahesabu ya haraka haraka, Mwamba ndio yupo mahali pabaya zaidi ikitokea divorce kuliko M/ke tena ukizingatia yupo na income inayoeleweka tayari.

Siyo rahisi kwa Mwamba kuanzisha hiyo league unayotaka kama ulivyoandika hapo. Unaweza ukalazimisha akae nyumbani na wewe na usifurahie uwepo wake vile vile. Mwisho wa siku inakua haina maana tena.

Au utamuanzishia tena league ya "Chagua kukaa nyumbani na mimi kwa furaha au kuachana?"

Mke kufanya kazi ni sawa ila hilo la kumfulia nguo wakati amekataa mfanyakazi mwenyewe ndio naona Mwamba kazingua. Kama hutaki mfanyakazi, basi fanya kazi zote mwenyewe, fullstop.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom