Hivi nyie wanawake mtaolewa na nani!?

Kama huwa husomi threads za Lizzy, umejuaje kama ni za kufikirika?? Alafu kuwa reasonable katika arguments zako, unawaambia watu kwamba 'mtabisha' maanake nini sasa? Watu wasipinge ila wakubaliane na mawazo yako tu na wakusupport kwa kila ulichandika sio?? Siku nyingine ukikosa hoja, unakula pumzi kwanza ndo unapata neno la kufix.....

ua so ver genious..big up to ua parents 4 raisin such a personality in u.
 
wanawake mbona wachache hao? waislam ni ruksa kuoa wanne. wakristo ni mabingwa wa nyumba ndogo.
usisahau wa Nigeria wameshatia timu hapa na Wanaoa na kuua at alarming rate.
 
Hesabu idadi ya wajane wako wengi sana so it means kila mtu anamwenzi wake. Ukihesabu wanawake utawaona wako weng ila weng wao ni wajane. Mungu wetu sio mjinga kuumba sex moja wawe wengi kuliko wengine. Otherwise hizo zote ni theory za kumkandamiza mwanamke ati wako weng ili tuwaowe wengi hakuna kitu kama hicho!
 
....There is an estimated 20 million Chinese males who can not find female partners. This is a lot of testosterone for one country and the propobality of civil war is very high – 20 million horny men! Naturally they have to diversify. No harm though!...

Nimeipendaje!
Wanaume wengine watata sana.Hawajiulizi inakuwaje wanawake walioolewa bado wanamendewa? Haya mambo ya kuoa au kuolewa hayana fomula maalum ni mambo ya moyoni zaidi.Mtoa mada kama unahofia dada zako au binti zako hawajaolewa..pole.
 
Wataolewa na wanaume au wanaume watakuwa wameisha kwa kuoana wenyewe kwa wenyewe?hiyo ni projection ukiigeuza in true fact bac tena
 
Nimeipendaje!
Wanaume wengine watata sana.Hawajiulizi inakuwaje wanawake walioolewa bado wanamendewa? Haya mambo ya kuoa au kuolewa hayana fomula maalum ni mambo ya moyoni zaidi.Mtoa mada kama unahofia dada zako au binti zako hawajaolewa..pole.

Yaani we acha tu, wanaume wooooote hao huku duniani yeye anauliza maswali ya ajabu kama ametoka usingizini, ati tutaolewa na nani. Haya, Wachina hao hawana wake wa kuwatosha na tayari wanajitwalia wake Afrika. Huo mfano mdogo tu, aulize zaidi tumwagie evidence. Ukiona hawajaolewa, hawajaamua na pengine hawajapata wanaowapenda.
 
Mkuu hapa kuna wabeijing kibao, halafu wana stress hao (watakumeza bure). Achana nao hawa we endelea zako kujimegea totoz tu huko kitaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom