Hivi nyie wanaume tuwaweke wapi?

Du leo umejitahidi kuandika vinavyoeleweka japo haitupunguzii kasi ya kuwaua
 
Poa.
 
Kwani marehemu alikusimulia?
 
Yaani wauliza utuweke wapi wakati unajua mpini hua unakaa wapi!

Ajabu utuweke wapi hukohuko kwa k zenu alaaah

Sehemu zingine mnatulazumisha tu

Nimechangia kichwa Cha habari tu ngoja nukasome Sasa kontent
 
Tuache hivyo hivyo tu
Cha msingi mwombe Mungu akupe mume unayemtaka lakini kwetu sisi

Vichwa hivi viache tu dume la mbegu utakuwaje mwanamke mmoja

Kwetu wanasema kamoja Kama mama yako hahahah
 
Kuna mwanamke mwenzenu huku kilimanjaro jana tu kafanya jambo zuri na jema tu la kumchoma mwanaume kisu mpaka utumbo kumwagika.

Pongezaneni maana nyani haoni kundule.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…