Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,894
- 2,794
Nimechakaaaa sanaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤫🤫🤫🤫🤫🤫Akuchune nani hiyo ngozi iliyokolezwa kwa mikemikali yakutosha..??
Akuue nani wakati we mwenyewe unajiua kwa kula mikemikali..?
Akuuze nani wakati bidhaa ilisha kwisha muda..??
Ahangaike nani kuuza viungo vyako wakati hata thamani umeshavidodesha kama kuku wakisasa..??
Hebu nenda kwa jamaa ukamsikilize acha uboya..😂😂
Halafu nisamehe bure dada wa watu sitaki mabango nawe mi napita tu🙏🙏🙏🙏
Akuuuu walahiTumia umbo lako na mbwembwe kumtamanisha huyo aliye mbali ashawishike afike hapo kwako
Naliwa kwa strategy ni mtu mzma mm kama unanitaka maana yake unataka ndoa....ntajua tuha ha ha kwa hiyo hutaki kuliwa kabisa
Tuonje kwanzaNaliwa kwa strategy ni mtu mzma mm kama unanitaka maana yake unataka ndoa....ntajua tu
Hawa ndo wale wakifikisha miaka 35 tu.. utasikia anahitaji mwanaume yeyote cha msingi awe anapumua [emoji23][emoji23][emoji23] hana tofaut na wa namba yangu nani kakupaWeweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.
Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...
Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
Hivi hujanioa unile kizembee tu unifurukute usiku asubuhi kisa mtu anaye stahili hivyoo ni mtu ambaye amejitosa mengi sana kwako.Wewe bila shaka umevunja ungo mwezi jana, maneno yako yenyewe sio sitaha halafu unekuwa umepevuka akili usingeleta humu hayo ni mambo yenu! Una shida halafu unaleta nyodo !
Hivi hujanioa unile kizembee tu unifurukute usiku asubuhi kisa mtu anaye stahili hivyoo ni mtu ambaye amejitosa mengi sana kwako.Hawa ndo wale wakifikisha miaka 35 tu.. utasikia anahitaji mwanaume yeyote cha msingi awe anapumua [emoji23][emoji23][emoji23] hana tofaut na wa namba yangu nani kakupa
Hivi hujanioa unile kizembee tu unifurukute usiku asubuhi kisa mtu anaye stahili hivyoo ni mtu ambaye amejitosa mengi sana kwako.Haya mawazo huwa unakuwa nayo wakati gani? Ukishakula hela ya nauli au kabla?
Kwahiyo ww unachotaka akufate au unachotaka ni nn? Au humpendi hauhitaji kuwa nae?Hivi hujanioa unile kizembee tu unifurukute usiku asubuhi kisa mtu anaye stahili hivyoo ni mtu ambaye amejitosa mengi sana kwako.
Mzee huwa anapewa raha pale ameonyesha juhudi.
Hakuna mtu kirahisi tu umfuate mtu eti kisa huna mtu wa kukuoa weee acha hizo nichome nauli ,ni waste muda wangu,kisa kwenda kujitolea??
Mimi sina undugu naye nasio mama yake.
Kila mtu afe kivyake.
Yeye aje nilipokama mi muhimu kwake wewe ndio huna,akili kabisaaa laiti ungejichunguza .
HUJAMUONA MTU KWA MACHO HUJAWAHI HATA KUKAA NAYE TU JAPO 5 MINUTES HUYOO KUKUU UNAKATA TIKETI UNAMFUATA .
POLEE NIFUATE PM NIKUPE NAMBA ZAKE HALAFU UMPE NDUGU ZAKO WA KIKE WAKAJITOSE
Na mkome kuomba kutumiwa hela kabla hamjatuona ana kwa anaWeweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.
Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...
Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
Nenda peleka Papa hyo acha kulalamika wakati kuna Dushe inakusubiriWeweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.
Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...
Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
Akili zenu mmezikaliaNenda peleka Papa hyo acha kulalamika wakati kuna Dushe inakusubiri
Hata akituma siendi nailaNa mkome kuomba kutumiwa hela kabla hamjatuona ana kwa ana
Ndio aje kwetu aonekaneKwahiyo ww unachotaka akufate au unachotaka ni nn? Au humpendi hauhitaji kuwa nae?
Hapo sawa naatatuma mpaka ml.1siendi ngoMwambie akutumie na ya kutolea.
Kuahidiana uahidiane na yeye, lawama kwa wanaume wote?Weweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.
Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...
Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox