Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
Akikujibu uni TagKwani wasichana huwa wanatuma nauli???
Hata kama ni thread ya kukuonesha mapendo yaliyojaa mtimani mwake.!!?Mwanamke wa kukuanzishia thread unatakiwa um block haraka sana
π π π π π π Mla Bata would be excellent at cinemaSinsKwani wasichana huwa wanatuma nauli???
Attention seeking disorder tuHata kama ni thread ya kukuonesha mapendo yaliyojaa mtimani mwake.!!?
Nadhani anamaanisha thread ya makaripio, na masimango.Hata kama ni thread ya kukuonesha mapendo yaliyojaa mtimani mwake.!!?