Kijana Wa Dar
Member
- Sep 22, 2016
- 98
- 215
Naona uzi wenu unakua kwa kasi sana,sijui huwa mnaongelea nini kule..
Wanaongelea nani atamfunga paka kengele?
Sio jibu zuri kwa mtu anayetaka kufahamu, am just saying.Mtukome na hatutaki mazoea kuzoeana..
Ahsante kwa kunikosoa na nisamehe pia..Sio jibu zuri kwa mtu anayetaka kufahamu, am just saying.
Safi sana, na ndio ameshauriwa hapo, akitaka kuujua uhondo wa ngoma, aingie acheze.Ahsante kwa kunikosoa na nisamehe pia..
Ila angeenda kule kuulizia tu..
Ahsanteeee bibie hapo nitaishi kwa amani sasa..Safi sana, na ndio ameshauriwa hapo, akitaka kuujua uhondo wa ngoma, aingie acheze.
Mi mwenyewe nliwahi kuingia aisee sikuelewa ikabidi nitoke bila kuagaNiliwahi kuingia siku moja sikuelewa kitu. Yaan nilitoka kapa
Nenda kawaulize hukohukoNaona uzi wenu unakua kwa kasi sana,sijui huwa mnaongelea nini kule..
Yeah na theories na hypothesisWanaongelea nani atamfunga paka kengele?