Hivi nitoe udhuru gani?

Jamani yaani kila nikimkumbusha bosi atutajie ni wapi hasemi ila anakaza kuwa tujiandae anakamilisha mpango atasema. Hivi mtu utajifunza nini kwenye nchi isiyo na amani?Masomo yatanoga kweli?
 
Jamani yaani kila nikimkumbusha bosi atutajie ni wapi hasemi ila anakaza kuwa tujiandae anakamilisha mpango atasema. Hivi mtu utajifunza nini kwenye nchi isiyo na amani?Masomo yatanoga kweli?

Mkuu nimesikia mnapelekwa Chibok, Borno State Nigeria.
 
Mhh! Hiyo kozi ni ya muda gani? Ni ya lazima kwa ufanisi wako wa kazi?

Dont risk ..................risasi/bomu huwa havijui unasoma kozi au upo kwenye mapambano
 
Back
Top Bottom