Hivi nini maana na ishara ya kujikwaa mara kwa mara...

Tajiri Tanzanite

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
898
1,000
hapo vip!!

mimi hili tatizo la kujikwaa mara kwa mara linanikumba sana, embu watalaam naombeni maoni yenu.
 
The Humble Dreamer

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
1,182
2,000
Niliaminishwa kuwa ;
Ukijikwaa mguu wa kulia, mambo ni mazuri.

Ila ukijikwaa kushoto, hiyo siku jipange!

Inanitokeaga sometimes so nina kauzoefu!
 
LIKE

LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,028
2,000
yanaitwa matulia

nilikuwa nangoa kucha kama zote..hadi nilipojitafiti nikagundua nakuwa natembea kizembezembe

na tatizo lilipungua lenyeweSent using Jamii Forums mobile app
 
D

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
3,325
2,000
Kwa mila za Kikwere kujikwaa mara kwa mara
1. Ni dalili tosha kwamba mke au demu wako anakusaliti na mtu wa karibu.
2. Ni dalili ya uzembe na kuchanganyikiwa.
3. Ni dalili ya kurogwa na mama mkwe ili kila anachomtuma binti yake wewe unatoa bila kuhoji.
4. Dalili ya kupata hasara au kufukuzwa kazi
 
dexterous

dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,419
2,000
Mkuu nunua gari hutojikwaa tena
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,995
2,000
Hukucheza hata skauti ukiwa mtoto, kama bahati mbaya hujaenda JKT!
 
Top Bottom