Hivi nini maana na ishara ya kujikwaa mara kwa mara...

Niliaminishwa kuwa ;
Ukijikwaa mguu wa kulia, mambo ni mazuri.

Ila ukijikwaa kushoto, hiyo siku jipange!

Inanitokeaga sometimes so nina kauzoefu!
 
yanaitwa matulia

nilikuwa nangoa kucha kama zote..hadi nilipojitafiti nikagundua nakuwa natembea kizembezembe

na tatizo lilipungua lenyewe



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mila za Kikwere kujikwaa mara kwa mara
1. Ni dalili tosha kwamba mke au demu wako anakusaliti na mtu wa karibu.
2. Ni dalili ya uzembe na kuchanganyikiwa.
3. Ni dalili ya kurogwa na mama mkwe ili kila anachomtuma binti yake wewe unatoa bila kuhoji.
4. Dalili ya kupata hasara au kufukuzwa kazi
 
Back
Top Bottom