mkuu sijawahi kutulia na msichana ambaye atakuwa hana hii shida aseeMkuu nisamehe kwa kuchekaaa....
Hilo ni chaguo lako muombee/mpeleke kwa watalam ataponaa
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana kwakweli maana hasije ninyonya damu huyu kwakweliPole mkuu I guess chukua muda mrefu bila kuwa na mahusiano,then ukimpenda msichana mwengine chukua muda kumchunguza kabla hujawa na mahusiano naye…...ila ya kila msichana unayekua nae ana matatizo..sijui ni nini hio….
ww mwenyewe unajiita kapepo ebu ona unavyojieleza tu. kila kitu kina kuja kwa mipango kamili, ebu fikiri hata jina ulilo chagua mwenyewe kina mapepo. kwa hiyo ww una kimavi cha mapepo.Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida mfano huyu nilie nae sasa nae yupo ivyo ivyo juzi kanitext anasema sikuizi akikaa anajisikia kupiga kelele pia anakula sana mkaa na sabuni hizi za vipande nyeupe amekuwa anapenda sana nafikiria kumuacha hasijie niletea balaa zaidi huko mbeleni wakuu nisaidieni jmn natafuta msichana alietulia hasiekuwa na mawenge haya.