Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,631
- 4,692
Tatizo lako ni mbinu
wale unaotaka kuoa ungetumia mbinu hiyo hiyo ya hit n run
Through body language yako unapoongea na yule unaemuona anafaa
automatic 'unampandisha bei'
hivyo lazima akujibu negative.....
wale unaowaona 'wa ku hit n run' unapoongea nao
body language inaonesha 'we wa kawaida sana'
hivyo na wao wana respond vizuri since 'hujawapandisha bei'
Mkuu nimekukubali wewe ni mtaalamu katika anga hii... kama tulikuwa wote.. huyu anapata kitete akiongea na hao anaotaka kuwawowa..