Hivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje?

Kwenye nafsi yako umepanga kumuoa au kula nakuondoka? kama unataka halali ongea nae kwa amani,la unataka uonje kama pipi as long as umejua kua ana mwenyewe plz usimuharibie muache aliharibu mwenyewe wewe usiwe sababu...
Kwa sa hizi naishia kwwnye hii komenti kusoma ngoja niende kwenye kikao kwanza ntakuja kuendelea baadae
Mkuu ulitakiwa uandike kwa herufi kubwa hichi ulichokiandika
 
Kuna binti huwa naonana nae katika shughuli zangu...ni mzuri kiukweli na Kila tukionana binti huwa anakuwa na furaha sana,,kutokana kutokana anavyorespond kwangu imenifanya kuvutiwa nae,na nimepanga kumfungukia kumwambie jinsi nampenda...ila tatzo kitu nimegundua kuna mshikaji ashaniwai tyar..

Sasa juzi kati nilimtext kwamba (KUNA JAMBO NATAKA NIKWAMBIE)..Sasa binti ananipigia na kunitext kila mara anataka nimwambie..
SWALI..ivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje..?.maana nahisi ananitega tu ili anichoreshe..

WADAU NISAIDIE...Nifunguke au nimezee tu
mtoa mada una umri gani? unataka tukufundishe kutongoza? demu keshakaa kibra mwite uongee nae au mtumie sms ataelewa somo kuhusu huyo mtu wake wala usijali kwani kamtolea mahari?
 
nina miaka 24
 
Kumwambia kuwa unampenda itakuwa ni regrettable mistake, njia nzuri ya kumwambia mtu kuwa unampenda ni kupitia matendo(kujenga ukaribu, ukarimu, urafiki, upendo e. t. c) na siyo kupitia mdomo!!........matendo yana nguvu ya kumteka mtu kuliko maneno ndugu!
wengine hawasomeki jomba atakuonyesha matendo yote bado akawa hakupendi...may be she makes u as a friend
 
Bora urudishe majeshi nyuma uje kivingine na style ya zawadi zinazochukua nafasi ya maneno yako hayo ambayo yumkini huna sanaa ya uteuzi mwanana wa maneno na lugha tamu ili kuepusha ajali yoyote mbeleni kisha ukaumia wakati ulitumia bunduki kuua inzi
hiyo umenena...nitaifanyia kazi
 
Kuna binti huwa naonana nae katika shughuli zangu...ni mzuri kiukweli na Kila tukionana binti huwa anakuwa na furaha sana,,kutokana kutokana anavyorespond kwangu imenifanya kuvutiwa nae,na nimepanga kumfungukia kumwambie jinsi nampenda...ila tatzo kitu nimegundua kuna mshikaji ashaniwai tyar..

Sasa juzi kati nilimtext kwamba (KUNA JAMBO NATAKA NIKWAMBIE)..Sasa binti ananipigia na kunitext kila mara anataka nimwambie..
SWALI..ivi nikimwambia kuwa nampenda atanichukuliaje..?.maana nahisi ananitega tu ili anichoreshe..

WADAU NISAIDIE...Nifunguke au nimezee tu
Hahaaaa mi yalijitokeza kwangu kwa binti flani sasa nikalianzisha nilivyofunguka akawa mkali ,,,nikamuuliza kwani umenielewa vp,,
Akajibu we ndo umeniambia fafanua vzr ,,,aaaah nikaruka kiuzi,
Nkamwambia Mimi nataka tuwe na mahusiano ya urafiki tu,akaniambia hapo sawa,,
Lkn ndani ya huo urafiki nikafanikiwa kufanya yangu,,,kwahio usiogope mkuu we jitose lakini uwe na plan b mambo yakienda kombo
 
sawaaa mkuu
 
mwambie kuwa ulikuwa unataka kumkopa hela ila bahati nzuri umepata kwingine, nadhan hatakuuliza tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom