Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
 
kwanza wewe mwenyewe umeonyesha ni jinsi gani uko empt set kufanya analysis! you are so weak in political science. Kama huna hoja ya kuchangia ni vema ukakaa kimya au changia hoja za wenzako sio lazima na wewe uonekane umepost!! Haya umeshatimiza lengo lao, nenda kachukue posho yako lumumba!.

Jifunze kufanya uchambuzi wa kisayansi, sio tu kupost ushabki wako hapa. i.d.i.o.t!
 
Pole sana ewe kijana mwenyewe mtindio wa ubongo, nakusikitikia kwakutumia mda wako mwingi kuandika pumba hizo
 
tatizo lenu ccm ni wazee wa matamko vitendo sifuri
 
chadema ni chama cha kilaghai kilichopoteza mvuto kwa jamii chenye malengo nchi isitawalike.
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Naona jaji hapa ni Somali kama ilivyo mshitakiwa (CHADEMA)
 
Ndugu yangu Yericko Nyerere,Wangama na SOKON, mbona mimi sikutukana au hata kukashfu?, Kwani wewe cdm wanakupatia buku ngapi ili utukane?, cdm wanafanys matendo gani yenye tija kwa Taifa ili sisi walala hoi maisha yakaboreka? Nilionya tangu Mwanzo nataka wachangiaji wenye hoja sio vioja.
 
Mleta mada bila shaka ulibemendwa ukiwa mchanga,tuwalaumu zaidi wazazi wako.
 
HIVI UMEANDIKA NINI HASA??Maana unapoleta post yenye mlengo unakuegemea wewe na kutuambia unahitaji hoja kwa kipi hasa katika hayo uliyandika yanahitaji majibu?your very iron head and i thing you never change your mind unless otherwise there are an external force may be applied to you.Also your level of thinking is zero and am not expect that your reach the "ABSRACT LEVEL"But your in pre-operation stage that's why you fail to write a logical statement.
UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA KULIKO UTUMWA WA MWILI".TAFAKARI
 
Huna jipya na hoja yako ni ya kitoto sana plz change your mind.unauliza chadema imefanya nini??kwani ndiyo iliyoshika nchi"kamuulize jk
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
Nenda kamuulize Dr .Slaa .
 
Kama una mtoto muoneshe ulichoandika kama hatakutemea mate cjui
 
chadema ni chama cha kilaghai kilichopoteza mvuto kwa jamii chenye malengo nchi isitawalike.

Lakini watu wanajaa kwenye mikutano ya hicho chama unachotaka kutuaminisha kuwa kimekosa mvuto! Na mbona basi usitaje CUF, NCCR, DP, UMD au UDP? (Oops, nimekumbuka! Ukifanya hivyo - I mean kuvitaja hivyo vyama tofauti na CHADEMA- hutapata buku 7)
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.

NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Mkuu kwanza I salute you,pili napenda ufahamu kuwa chama chochote cha siasa kilichosajiriwa kisheria ni tasisi,ndani kwa vyovyote vile lazima kuwepo mawazo na mitazamo tofauti kabisa hivyo ni vigumu tendo la mtu mmoja kuliona kama ndio msimamo wa tasisi husika,tatu hayo yote kwenye blue color naona ni tuhuma tu zinazositahili kupuuzwa unless uzithibitishe kwa ushahidi pasi shaka yoyote or otherwise utakuwa unachuki binafsi na chama husika.
 
Makusudically, naona umeingia jamvini bila hata kupiga hodi, pole sana ndugu yangu. Kama hizi ulizotoa ndizo hoja, heri urudi huko huko ulikotoka...JF inakuzidi kimo. Ni ushauri tu dogo.
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Umejiunga leo, na unaanza na pumba. Kachukue b7.
 
Back
Top Bottom