Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
endelea na hako katotosileti tena my love
endelea na hako katotosileti tena my love
hapana endelea lovenimeacha mpenzi
s anakushughulisha??? Me nimekubali tu awe wakowhat did you say??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
hapana mpenzihapana endelea love
nimekaacha darlingendelea na hako katoto
me ni wako peke yakos anakushughulisha??? Me nimekubali tu awe wako
Sesten Zakazakanimekaacha darling
yamekuwa haya??
Sesten Zakazakayamekuwa haya??
kaka, kwanzanpole na mihangaiko, pili msome shemejio huko juuDada
Kaharibu nini tena bwana shemeji?kaka, kwanzanpole na mihangaiko, pili msome shemejio huko juu
😎😎😎😀😀😀mume wangu amekupenda me nataka uwe mwenzangu fikiria hilo nakuomba.
Ni hasira Madame S au ni nini? Hapa sikukuelewa ujuemume wangu amekupenda me nataka uwe mwenzangu fikiria hilo nakuomba.
nn tena😎😎😎😀😀😀
kuna sehem nilimbamba anakazania aende pm nkkajifanya kama sjaonaKaharibu nini tena bwana shemeji?
Hebu ngoja nimtafute kwani kabila gani yule dada? Huends ni mtani wakewe unajua bwana kaka, hivi kwa akili ya kawaida unaweza ruhusu hivo??
Pole sana dada inaonyesha umekuuma kweli. Ila ni hiv kama ww huna hela au moyo wa utoaji basi wako wenzio wenye nazo ambao wao kutoa pesa si ishu. Anajitegemea anajiweza sana tu.Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.