Hivi ni vipaumbele vyetu

Hivi ni vipaumbele vyetu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1436462499.888912.jpg
 
Watakwambia ruzuku ya chama ndiyo yenye kufanya haya, na chama si serikali. Ila ikifika kwenye kujisifu utasikia "serikali ya CCM...", serikali ya CCM my foot.

Kwan hawawezi kutumia ruzuku kujenga madarasa?
 
Watakwambia ruzuku ya chama ndiyo yenye kufanya haya, na chama si serikali. Ila ikifika kwenye kujisifu utasikia "serikali ya CCM...", serikali ya CCM my foot.

ndo watakavyojitetea hawa mafisadi ccm. cha msingi tufanye maamuzi muhimu sana ikifika oktaba. hilo darasa kweli wanafunzi wataelewa?
 
Hakuna kufanya makosa tena#october
 
Back
Top Bottom