Hivi ni uungwana kuwaita wanawake mizigo?

Hivi ni uungwana kuwaita wanawake mizigo?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
IMG_20180113_214316_807.jpg

Na hasa ikiwa maneno hayo yanatamkwa na viongozi wa dini?
 
Huyo ni comedian kama wakina joti na kingwendu..
Usimuweke kwenye kundi la viongozi wa dini
 
Duh! Kwa upande wangu cjaona kama alimaanisha wanawake kama ni mizigo ila mizigo maana alimaanisha (wanawake kwenye makalio makubwa)
 
Back
Top Bottom