Najivunia kuwa muafrica pia najivunia rangi yangu ya kiafrica na ctamani kujibadirisha rangi yangu. Je ww unaejibadirisha kwa rangi ya dukani ni urimbukeni au?? Au wanaume chanzo cha mdada kujibadilisha rangi yake. Maoni yako tafadhari
hahahah mwambie natural aiachie misitu!!ni mwendo wa kitaulo...Dada karibu JF
hii thread yako ya pili na haijulikani unalalamika nini haswa
karibu JF take it slow
Clalamiki bari naona wadada wengi awako na rangi zao natural so bd natafakari juu ya ili cpati jibu ndomana naitaji ushauri na maoni
Dada karibu JF
hii thread yako ya pili na haijulikani unalalamika nini haswa
karibu JF take it slow
Ushauri na maoni unayoyataka yatakusaidia nini????
Anyway, hao wadada wakija na wenyewe wanaweza kulalamika kuhusu mwandiko wako......
Clalamiki = silalamiki
Bari = bali
Awako = hawako
Cpati = sipati
Ndomana= ndio maana
Naitaji = nahitaji
Bd =bado

Mzee wa fursa kwi kwi kwiPole sana dada, nicheki pm nikupe uzoefu! mtoto mzuri hupaswi kufanyiwa hivyo! pole sana mrembo, by the way nami nilikuwa namtafuta mwenye sifa kama zako! Mwaaaaa!!!!!
Clalamiki bari naona wadada wengi awako na rangi zao natural so bd natafakari juu ya ili cpati jibu ndomana naitaji ushauri na maoni