Hivi ni ugumu wa kiswahili KISWAHILI au UZEMBE

Hivi ni ugumu wa kiswahili KISWAHILI au UZEMBE

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
269
Hivi kwanini watu/madalali wanauza furniture mitandaoni na katika furniture stores huwa wanaita hili eti ni KABATI ? hivi kweli hawajui KABATI ni nini/likoje ?

Wataalamu wa Kiswahili hebu nisaidieni hapa.
 

Attachments

  • ok.jpg
    ok.jpg
    416.4 KB · Views: 20
Tupe jina lake mkuu wa kazi 😀😀
 
Back
Top Bottom