Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Sijui nini kinachoendelea ndani ya ccm nikupuuzwa kwa viongozi wakuu ndani ya chama au ni baadhi ya wanachama kujiona wao ni muhimu sanaa hata wakifanya kosa hakuna wakumzuia. Watangaza nia baadhi ni jeuri sana hii inatoa picha jinsi wasivyofaa kupewa hatamu yakuongoza nchi hii ni tishio kwa jamii yetu.