Hivi ni udhamini au campaign

Hivi ni udhamini au campaign

Wanacho kifanya CCM ni kitu walicho kipanga, time hii wanaendelea kupiga kampeni plus kumsafisha Edward kidogo kidogo via public sympathy.

Vyama vingine havijatambua fursa hii, ndio maana kila siku mtia nia anaongezeka, so the more you talk about them the more you think about them.
 
lowassa habahatishi kama watia nia wengine ..ndio maana alisikika akisema msishtushwe na utitiri wa wagombea.
 
Back
Top Bottom