Dunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..
Njia gani ya zamani unayoijua ambayo ikitumika saivi itabamba sana na kupata mtu unaemuhitaji .. nipeni mawazo yenu bas [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Ukienda kwa madangaDunia imekuepo tokea miaka saidi ya 6000 kutokana na sayansi but kuna jambo bado linachanganya watu mpaka saiv swala la kutongoza na kupata dem mzuri mapema ..
Njia gani ya zamani unayoijua ambayo ikitumika saivi itabamba sana na kupata mtu unaemuhitaji .. nipeni mawazo yenu bas [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]