Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,933
- 100,217
Watu hujikita zaidi kwenye mambo wanayoyaishi kila siku(mara nyingi)kuliko yanayowatokea kwa misimu.Maneno hayana uhusiano na ngono lakini watu wamekimbilia kuwaza ngono... vijana hawa wana mchango mdogo sana kwenye maendeleo ya nchi 😅🤣😂
Kuna chocho Mbagala Rangi Tatu, watoto wa kutoka Singida warembo Mungu anajua. Mida kama hii wako counter wanasafisha glass. Bro
Dah nimeona, wengine wameshaweka na mifano kabisa chapchapMbona walishafika tangu jana😁
Katiba mpya itasaidia watu kuacha show tumeNdo hao walioambiwa na ima wapambane wapate katiba mpya!
Kuna chocho Mbagala Rangi Tatu, watoto wa kutoka Singida warembo Mungu anajua. Mida kama hii wako counter wanasafisha glass.
Unemployment
Ni uongo na kujidanganya kwa bei rahisi kwamba ngono isijadiliwe bali tujadili uchumi kila muda.Kitaalamu, mwanaume huwaza ngono kila baada ya wastani wa dakika tatu hadi leo hii nchi imefika uchumi "wa kati-chini".Dah nimeona, wengine wameshaweka na mifano kabisa chapchap
sijawahi ona uongo wa ukweli kama huu ulioandika. halafu upo very seriousNi uongo na kujidanganya kwa bei rahisi kwamba ngono isijadiliwe bali tujadili uchumi kila muda.Kitaalamu, mwanaume huwaza ngono kila baada ya wastani wa dakika tatu hadi leo hii nchi imefika uchumi "wa kati-chini".
Gugu uone.Ngono na mwanaume ni kama hewa kupumua.Chukua hiyo.Duh sijawahi ona uongo wa ukweli kama huu ulioandika
He Ni google tena wakati mimi ni mwanaume? yaani google inithibitishe mimi?Gugu uone.Ngono na mwanaume ni kama hewa kupumua.Chukua hiyo.
Kila mara niitazamapo Google, sijawahi kuona ina uke.Kwani imeanza lini kuwa ya kike?He Ni google tena wakati mimi ni mwanaume? yaani google inithibitishe mimi?
tuache huo kitaalamu yako uliyoandika, pili tuachane na huo wastani wa dakika tatu, tufanye dakika 10. Kwahiyo mkuu huwa unawaza ngono kila baada ya dakika 10Gugu uone.Ngono na mwanaume ni kama hewa kupumua.Chukua hiyo.
Tunaenda na muda😁Dah nimeona, wengine wameshaweka na mifano kabisa chapchap
hujaelewa, unataka ni google kuwa mwanaume anawaza ngono kwa wastani wa kila baada ya dakika 3 wakati mimi mwenyewe ni mwanaume na siwazagi kwa wastani huoKila mara niitazamapo Google, sijawahi kuona ina uke.Kwani imeanza lini kuwa ya kike?
Likiwepo neno wastani ina maana ujiongeze.Wapo ambao hawawazi kabisa kutokana na sababu mbalimbali.Mimi huwa nawaza sana hasa nikiwa sina kazi za kufanya.Swali lingine muheshimiwa.tuache huo kitaalamu yako uliyoandika, pili tuachane na huo wastani wa dakika tatu, tufanye dakika 10. Kwahiyo mkuu huwa unawaza ngono kila baada ya dakika 10
Absolutely!Huu ni uzi wa short time,usomaji bora wa "katiba" na malipo ya vyumba/lodge.Wanaotaka tuongee kuhusu employment, niwaelekeze. Kuna jukwaa jingine kule juu watu wanatafuta kazi. Nendeni mkawape wape kazi. Kama mimi nataka kazi nitakuja hukohuko
page ya tatu na bado watu mpo serious sana kuhakikisha hiki kipindi notice zinakamilika na somo linaeleweka😁Tunaenda na muda😁
Tukiongozwa na wewe na the ring leader😁page ya tatu na bado watu mpo serious sana kuhakikisha hiki kipindi notice zinakamilika na somo linaeleweka😁
samahani mwalimu kabla sijauliza jingine, kwa mujibu wa maelezo yako ina maana muda wa kazi kwako ni mchache sana ukilinganisha na ule unaokuwa free, pili ina maana muda wako ambao huna kazi hujawahi kuwaza vingine nje na ngono. wastani wa dakika 3 siyo mchezo mkuuLikwepo neno wastani ina maana ujiongeze.Wapo ambao hawawazi kabisa kutokana na saba mbalimbali.Mimi huwa nawapa sana hasa nikiwa sina kazi za kufanya.Swali lingine muheshimiwa.
mimi nimekuja tu kuwatoa watu humu, siyo mkaaji sana hapaTukiongozwa na wewe na the ring leader😁
Kuwapeleka wapi?mimi nimekuja tu kuwatoa watu humu, siyo mkaaji sana hapa