Hivi ni show time au short time?

Hiyo mambo ya short time usiende kwenye guest hizi za Uswahilini. Siku moja nilimfuata mchumba kule Mtoni kwa Aziz Ali, ikabidi tukapumzike chocho flani kule nyuma ya uwanja wa Sababa. Ilikuwa mida ya jioni, haki ya Mungu siridii tena. Yaani ilkuwa walk of shame bro. Wakinamama wa uswazi wamekaa vibarazani wote wanatuangalia walee wanaenda. Niliomba ardhi ipasuke ndugu yangu
 
Wenge lako tu si ajabu hata hawakua na time na nyie.
 
Mngebeba vitabu vikubwa na kalamu muigize kama wakaguzi kutoka serikalini.Hatari sana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…