Hivi ni sahihi kwa rafiki yako kipenzi kukuomba namba ya simu ya mpenzi wako wa zamani?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,002
Habari zenu Watanganyika wenzangu.

Twende kwenye mada husika, kuna rafiki angu wa siku nyingi tu, leo from no where eti ananiomba number ya mpenzi wangu wa zamani, hivi ni sawa kweli wapendwa?
 
Habari zenu watanganyika wenzangu!twende kwenye mada husika,kuna rafiki angu wa siku nyingi tu,leo from no where eti ananiomba number ya my X,hivi ni sawa kweli wapendwa?
Watu wanaomba namba za uliyenaye... Sembuse X...??!! Mpe bana!! ...au bado unamtaka??
 
inategemea for what purpose
kama suala ni kumtongoza hata usipompa kama ana nia nae atamtafuta tu

labda anataka kuona reaction yako ikoje...

au labda kashaamua urafiki na ufe ili mradi yeye apate anaempenda...

kazi kwako
 
Habari zenu watanganyika wenzangu!twende kwenye mada husika,kuna rafiki angu wa siku nyingi tu,leo from no where eti ananiomba number ya my X,hivi ni sawa kweli wapendwa?
Huyo rafiki yako wa siku nyingi si rafiki tu?? Au una maana nyingine ya urafiki wenu?
Mpe namba awasiliane na X wako, kwani huyo X una ishu nae tena?
 
Tatizo liko wapi? Hata kama anataka kumtongoza sioni kama kuna shida

friendship lazima iwe na loyalty na rspect
kama tumeachana huku nakupenda au nasubiri nafasi ijitokeze turudiane
yeye anaejiita 'rafiki yangu' awe so fast kukutongoza huko ni kuonesha 'kufurahia maumivu yangu'
nahuo sio urafiki...
 
Inategemea unapokuwa na rafiki yako unamuongelea vipi huyo X au unaonesha feelings gani concerning ur X. Kama unaonesha kupata shida juu yake ni kweli rafiki yako anatakiwa aheshimu lakini kama unaonesha u r happy without her na unadhamiria hadi kuanzisha mahusiano mapya kwa nini asitumie fursa?
 
hilo neno 'happy without her' most of time lipo kwenye movies na tv series....note that..
 
Si ndio hapo....yan umeniacha na fursa nazo unanizibia khaaa

Ishu sio fursa kubaniana ishu ni kuheshimu 'territories' za watu unao wajali na kuwaona wanakuhusu

wewe ex wa dada yako unaweza mchukua? sometimes urafiki ni kama undugu au zaidi...
 
Who defines those "territories"?
 
Ishu sio fursa kubaniana ishu ni kuheshimu 'territories' za watu unao wajali na kuwaona wanakuhusu

wewe ex wa dada yako unaweza mchukua? sometimes urafiki ni kama undugu au zaidi...
Ze Boss... Ni ni ex wa dada/kaka... Watu wanagonga ex wa baba/mama na mais ha wanayasongesha hadi lilba zinahusika
 
Back
Top Bottom