JabraKitaa
Member
- May 8, 2018
- 6
- 10
Tatizo protocol tunazivunja kuhofia kuraMimi naona hizi taalum zinaingiliwa chombo kama TBS, Mkemia mkuu ni vyombo imara sana. kama inafikia vinapingwa kwa kweli itakuwa kuna maslahi pembeni ya watu. Napenda kutoa ushauri wangu wa vyombo vinavyohusika zaidi ni wakati sasa TRA nao kuwa na wataalam wa vipimo ili mwisho wa siku wapate kulinganisha matokeo ya sampuli zao. leo hii muda mwingine TRA anafanyakazi kupitia Taasisi fulani mfano tujiulize je TRA anatoza vipi Kodi kwa mizigo ya uzito mfano Ngano, pamba, korosho bila Wakala wa vipimo kukagua mzigo huu tena hasa mipakani. juzi juzi tu tulisema lazima kituo cha mafuta kiwe na Mashine ya kutolea Risiti sawa lakini je mtu wa TRA anajuaje mfumo wa mashine kama Mtu wa Wakala wa vipimo(WMA) maana afisa vipimo ndio anajua usomaji mnzuri wa mashine huo la sivyo TRA hata hafunge mashine pump zote kama afisa vipimo haja kagua pump TRA wanapoteza kodi nyingi na wananchi wanaibiwa sana kwenye pump za mafuta unakwenda weka lita 10 kumbe unapata lita 9. itafikia wakati tutasema Bandari ya Dar es salaam inachelewesha kutoa mizigo kumbe sivyo inawezekana ni matatizo yetu wenyewe TRA anashindwa kufanya kazi sababu alitegemea kitu fulani kumbe wataalam wa faini hiyo wamesema kinyume na matarajio. ilikuondoa usumbufu huu TRA anatakiwa sasa kuwa na watu wake wa kufanya sample za bidhaa, wataalam wake wa vipimo na wakemia wake ili wakienda kulinganisha na sample za taasisi husika wanaweza kuelewana kuliko mtu wa kodi kumuelewa mtu wa kemia au wa vipimo.
Kwahyo mpimaji awe yy na hakimu awe yeye, huoni hiyo itakua hatari zaidi hasa kwa wafanya biashara.Mimi naona hizi taalum zinaingiliwa chombo kama TBS, Mkemia mkuu ni vyombo imara sana. kama inafikia vinapingwa kwa kweli itakuwa kuna maslahi pembeni ya watu. Napenda kutoa ushauri wangu wa vyombo vinavyohusika zaidi ni wakati sasa TRA nao kuwa na wataalam wa vipimo ili mwisho wa siku wapate kulinganisha matokeo ya sampuli zao. leo hii muda mwingine TRA anafanyakazi kupitia Taasisi fulani mfano tujiulize je TRA anatoza vipi Kodi kwa mizigo ya uzito mfano Ngano, pamba, korosho bila Wakala wa vipimo kukagua mzigo huu tena hasa mipakani. juzi juzi tu tulisema lazima kituo cha mafuta kiwe na Mashine ya kutolea Risiti sawa lakini je mtu wa TRA anajuaje mfumo wa mashine kama Mtu wa Wakala wa vipimo(WMA) maana afisa vipimo ndio anajua usomaji mnzuri wa mashine huo la sivyo TRA hata hafunge mashine pump zote kama afisa vipimo haja kagua pump TRA wanapoteza kodi nyingi na wananchi wanaibiwa sana kwenye pump za mafuta unakwenda weka lita 10 kumbe unapata lita 9. itafikia wakati tutasema Bandari ya Dar es salaam inachelewesha kutoa mizigo kumbe sivyo inawezekana ni matatizo yetu wenyewe TRA anashindwa kufanya kazi sababu alitegemea kitu fulani kumbe wataalam wa faini hiyo wamesema kinyume na matarajio. ilikuondoa usumbufu huu TRA anatakiwa sasa kuwa na watu wake wa kufanya sample za bidhaa, wataalam wake wa vipimo na wakemia wake ili wakienda kulinganisha na sample za taasisi husika wanaweza kuelewana kuliko mtu wa kodi kumuelewa mtu wa kemia au wa vipimo.
Sio mashaka hapa namanisha mwisho wa siku mpimaji wa TRA anafanya ulinganishi na mpimaji wa TBS sababu watu wataaluma moja wanaongea lugha mojaTra kuwa na wapimaji wake ni jambo lenye kutiliwa mashaka!!