Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,216
- 3,687
JAMANI TANGU NIMEANZA KUSIKIA VILIO VYA WANANCHI DHIDI YA BOMOA BOMOA SIJAWAHI KUSIKIA HATA KIONGOZI WA JUU WA UKAWA AKITOA KAULI YEYOTE KUHUSU ZOEZI HILI AMBALO LIMEKUWA NA MALALAMIKO MENGI,
INASIKITISHA KUONA VIONGOZI NA WANASIASA MASHUHULI KAMA AKINA MBOWE, ZITTO KABWE, MNYIKA, LIPUMBA,MBATIA WAKO KIMYA KUHUSU ZOEZI HILI MPAKA NAANZA KUWA NA HOFU NA UPINZANI WA AINA HII,
ILA NAMPONGEZA TUU MBUNGE WA KINONDONI ANGALAU AMEOSHESHA KIDOGO KULETA IMANI KWA WANANCHI WAKE