Majuto Ngozi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 211
- 50
Nilikuwa Nikifuatilia Mwenendo Wa Kisiasa Wa Chama Kipya Cha Act - Tanzania Lakini Bado Sielewi Malengo Hasa Ya Chama Hicho, Kwa Kawaida Chama Cha Chochote Cha Siasa Duniani Kote Ni Kutaka Kushika Dola, Kwa Maana Hiyo Vyama Vyote Ambavyo Vipo Nje Ya Serikali Vinapambana Na Chama Kilicho Madarakani Ili Wananchi Wakikatae Katika Chaguzi Za Kidemokrasi Na Wachague Chama Mbadala Kuonoza Nchi, Kinachonichanga Kwa Act Naona Kwamba Kinajitahidi Kuvishambulia Vya Vingine Vya Upinzani Kana Kwamba Ndivyo Vinavyoshika Dola, Je Act Ndio Sera Yao Kupambana Na Wapinzani Wenzao Ili Kishike Dola? Kama Hivyo Ndivyo Naogopa Kuwa Wananchi Wakielewa Kuwa Act Kinaisaidia Ccm Watakipuuza Mapema Na Kufanya Upinzani Kutoaminika, Naomba Wahusika Wa Act Waniweke Wazi Kuwa Lengo Lao Ni Nini, Kwani Hata Hao Viongozi Wa Act Wataonekana Ni Mamluki Na Watajivunjia Heshima Zao.