Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
Hivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?
Niliwah msikia MTU wa bot akisema kuna kamoun tofaut tifaut znazotengeneza fedha zetu ya MF. Wanaotengeneza buku 2 ni tofaut na kampun inayotengeneza buku tenHivi ni nani ana mamlaka ya kuprint hela???? Kampumi gani ina print hela? Na wanafuata principles zipi,??? Kuna uhusiamo gani kati ya b.o.t na hao wanaoprint hela?