Jamani naombeni msaada hapa, hivi katika mahusiano ni Mwanamke tu ndio anayetakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya relationship?au hata Mwanaume anaweza kusacrifice?
wote wawili wanatakiwa kusacrifice ili mahusianao yawe imara zaidi
yappp!!!!!
kweli tupu.......
heshima pande zote
apa ile fomula ya ...REACTION =ACTION inaapply
vile unavyowekeza mapenzi kwa mwenza ni vivyo ivyo atarejesha mapenz KWAKO bt ustegemee kumfanya mtumwa mpz wako then utegemee mahaba motomoto
angalau onyesha concern kdg bt ukijifanya MI MWANAUME wewe ni mwanamke braaaaa braaaaaa braaaaaaaaaaa ahh apo lazma vita ya 4 ya mapenzi itokee!!!!!
i siyo hesabu ya 5/4 bali ni 2:2 sawa?? mfamaji baelezee nini maana ya sehemu na ratio!!!!!
nenda kwa mfamaji au roy wakufunde hesabu ada ntakulipia!hhah//we Rose wewe...ngoja nisubiri somo la Mfamaji kisha nikamwone mwalimu wangu wa HESABU kwa nini alinimislead....
nenda kwa mfamaji au roy wakufunde hesabu ada ntakulipia!
haaaaaa mi stak kabisa habari ya 5/4 hahhaa apana minataka 2:2
wknd vp lakin???
yappp!!!!!
kweli tupu.......
heshima pande zote
apa ile fomula ya ...REACTION =ACTION inaapply
vile unavyowekeza mapenzi kwa mwenza ni vivyo ivyo atarejesha mapenz KWAKO bt ustegemee kumfanya mtumwa mpz wako then utegemee mahaba motomoto
angalau onyesha concern kdg bt ukijifanya MI MWANAUME wewe ni mwanamke braaaaa braaaaaa braaaaaaaaaaa ahh apo lazma vita ya 4 ya mapenzi itokee!!!!!
i siyo hesabu ya 5/4 bali ni 2:2 sawa?? mfamaji baelezee nini maana ya sehemu na ratio!!!!!
wote mwanaume na mwanamke wanatakiwa kusacrifice kila kitu kwa ajili ya mwenzake
nenda kwa mfamaji au roy wakufunde hesabu ada ntakulipia!
haaaaaa mi stak kabisa habari ya 5/4 hahhaa apana minataka 2:2
wknd vp lakin???
inategemea umeichukua kwa mtizamo upitatizo sasa hapo unantoa kwenye mada nakuwa nafanya 'selective reading' lol...ilikuwa pouwa sana nitakupa details tu......
sasa ni suala la mtazamo ila sehemu na ratio si ni sawa....?
5/4 ni sawa na 5:4 na kama nikiandika 2:2 ni sawa na kuandika 2/2 ambayo ni 1....lakini DHANA ya kwamba kunahitajika usawa ni muhimu...in fact kama mtoa mada anajisikia kwamba yeye anasacrifice zaidi, basi huo uhusiano haumfai
MJ1 ana signature inasema kuwa " He/She who loves the least controls the relationship" kama sijakosea
inategemea umeichukua kwa mtizamo upi
5/4 ni tofauti na 2:2
NAKATAA RATIO SI SEHEMU
uku kwenye ratio relatshp watu wanakuwa SAWA WOTE lakin uku kwenye SEHEMU rltshp mmoja anakuwa juu mwngne ANAKUWA CHN...ni MTAZAMO TU UITAJI KUCHUKUA ZILE IDEA YA CMPYUTA N MATHEMATICS DEPATiMENT...si kwa hesabu za mwanahesabu apo ni idea ya hesabu panapo sosho mata kwenye kona ya mahusiano rafiki kwa rafiki au mahusiano ya mfalme na mtumwa!!!!!
atakuja kuanza nxt monday bt pleeeeese msisitize mwambie aache kuamini ratio ni sehemu mfMmh . Shule bure hulipi hata shilingi. Ndio sera zetu mupya. Aje tu
karibu lunch dia, ugali,bamia na matembele