Hivi ni mimi tu?

Hivi ni mimi tu?

ha ha ha ha ingekuwa ni chaki ya kwako ingekuwa imeisha...
 
siku za nyuma nilidhani ni ujanja kugegeda wengi, nikawa na-ongeza list tu lwenye memo yangu...siku1 nikakutana na mnigeria akanipa bonge la lecture kuhusian na Sexual transmitted curses (STC)...so kuwa makini unaweza shangaa hutoki kimaisha kumbe tatizo unagegeda sana watu tofauti...unakosa omen, unakosa peace ndani ya roho unreasonably...plus zama hizi za ukimwi...tulizana kijana
 
Back
Top Bottom