Hivi ni mimi tu?

Hivi ni mimi tu?

Kampini

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
140
Reaction score
29
Jamani wana JF nisaidieni. Mimi kila niliye mgegeda hata akiniacha mwishowe ananirudia,kila ninayetaka kumgegeda nikimtokea tu ananikubalia.
 
Teh.....teh.....umenfanya nicheke kaka, huenda ww nyota ako ni ya "gegedu"ndo mana unagegeda tu
 
tuko wangapi,tulizana. Tanzania bila ukimwi inawezekana.
kwa hisani ya mwananchi wa Tanzania
 
wenzako wanakuchezea hapo hapo wala hamna cha maana coz raha ya kugegeda ni usumbuliwe kidogo.
big up mkulu ingawaje ujue MAPENZI HAYANA USHUJAA.
 
ila post nyingine ... Dah ndo unajikuta ushaisoma tayari
 
co jambo la kujcfia jiulize kw nn labda wakiku ATM una ATMka alaf unajiona mjanja
 
Hii ni spam

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ni wewe tu ndugu: yawezakana unatoa mkwanja wa vhaja au unatongoza chungus
 
Jamani wana JF nisaidieni. Mimi kila niliye mgegeda hata akiniacha mwishowe ananirudia,kila ninayetaka kumgegeda nikimtokea tu ananikubalia.

Sifa za kijinga!!!! Unaikumbuka hiyo nyimbo ya zamani inaiko kikorombwezo?? Xa ndo nini kusema ivo; sifa au??
 
Back
Top Bottom