Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?
Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga
Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)

Hapana sio lazima, ila wanakuja hao muda si mrefu watatupa majibu stahiki!
Biashara ya zamani kuliko zote ni ngono! Ngono ngono ngono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
natamani ningekuelewa unataka kumaanisha nini LOVEBIRD, lakini sijaweza. Samahani.
Biashara ya zamani kuliko zote ni ngono! Ngono ngono ngono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani ni hivi......kwa nini mtu asiseme.....nataka nikukoboe wee kwa miezi sita then nikuache niwe na mwingine...badala yake anatoa ahadi za uongouongo.......yeye anataka kuambiwa ukweli......
umeelewa sasa......?
Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?
Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga
Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)
Kina nani?
Ya zaman lakini imedumu!!
tukiwa direct kwenye point mnasema tunawaona cheap or a -----...so inabidi tutumie traditinal way ambayo uongo ndio sukari au wimbo ulio bora kwenye masikio ya mwanamke, Hata hivyo inatuchosha na kutubore kwakua haiendi na wakati.Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?