Hivi ni lazima mwanaume

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,724
7,560
Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?

Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga

Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)
 
Hapana sio lazima, ila wanakuja hao muda si mrefu watatupa majibu stahiki!
 
Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?

Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga

Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)

Biashara ya zamani kuliko zote ni ngono! Ngono ngono ngono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
natamani ningekuelewa unataka kumaanisha nini LOVEBIRD, lakini sijaweza. Samahani.
 
Yaani ni hivi......kwa nini mtu asiseme.....nataka nikukoboe wee kwa miezi sita then nikuache niwe na mwingine...badala yake anatoa ahadi za uongouongo.......yeye anataka kuambiwa ukweli......
umeelewa sasa......?
 
  • Hii ni kawaida kwa wale guys ambao kuhonga gari (siyo kagari), ni kitu cha kawaida.
 
Unachagua gia kulingana na muinuko au mteremko wa mlima ulivyo. japo ikibidi mlima unapandwa kwa reverse gia.

Mimi ni muumini wa ukweli na uwazi, ila una gharama nyingi sana aisee.

Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?

Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga

Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)
 
Ya zaman lakini imedumu!!

Na itadumu milele! Just imagine, ukimwi umekuja 1983 Tanzania-first case identified in Kagera, lakini bado mpaka leo tunakufa, tunaambukizana ukimwi kwa Ngono. Pamoja na elimu yote na resources zinazomwagwa kwenye elimu ya ukimwi
 
Anayekutongoza, aahidi kuwa nawe siku zote? atoe mahitaji ya muhimu?

Anayekutongoza, lazima akudanganye danganye hata maahali pasipotakiwa kudanga

Anayepewa tunda...lazima aahidi kuwa na wewe na kukuheshimu..na kutoa mahitaji kama (ya saloon, outing, vocha, etc)
tukiwa direct kwenye point mnasema tunawaona cheap or a -----...so inabidi tutumie traditinal way ambayo uongo ndio sukari au wimbo ulio bora kwenye masikio ya mwanamke, Hata hivyo inatuchosha na kutubore kwakua haiendi na wakati.
....we unafikiri nani anapenda kuanza kukuuliza mambo mengi ya kwenu sijui historia, kabila, nini vinakubore, nn unapenda, mimi unanionaje ohhh sijui nini na nini....mwanaume siku zote anatamani kuwa kama Jogoo kukamata piga then kusepa
So as for me mnge ruhusu hii ya kukubali tuwe direct kweli mngetusaidia sana kwa yafuatayo
1)muda
2)resources
3)ingepunguza uongo kwa kiasi kikubwa.
3) majanga ya kina Mushi na U4 na MUnic vingepungua.
 
Yaani ni hivi......kwa nini mtu asiseme.....nataka nikukoboe wee kwa miezi sita then nikuache niwe na mwingine...badala yake anatoa ahadi za uongouongo.......yeye anataka kuambiwa ukweli......
umeelewa sasa......?

kuna mdada aliwahi kuniambia kuwa wadada wanapenda kudanganywa.akasisitiza kuwa ukitaka kumkosa mdada we mwambie ukweli....! then kumbukeni ile thread ilitupiwa humu wengi wenu mkakubali kuwa "BAD BOYS ARE GOOD BOYS TO GIRLS" leo mnaikana tena?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom