ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,208 May 2, 2017 #61 rubii said: unawapataga vichwani wendawazimu hao Click to expand... Mimi hata wewe huna option ya kuforce nikupe hela km nishakulala?
rubii said: unawapataga vichwani wendawazimu hao Click to expand... Mimi hata wewe huna option ya kuforce nikupe hela km nishakulala?
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,858 May 2, 2017 #62 Sio lazima kuhonga ila ni lazima kuhongwa
K katawa JF-Expert Member Joined Jan 29, 2010 Posts 1,336 Reaction score 2,826 May 2, 2017 #63 Pengine umehonga kagari kamilioni nane halafu unakuja kutuchefua hapa. Uzuri na utanashati wa wanawake wa leo unatushauri tusiwahonge!! umerogwa wewe
Pengine umehonga kagari kamilioni nane halafu unakuja kutuchefua hapa. Uzuri na utanashati wa wanawake wa leo unatushauri tusiwahonge!! umerogwa wewe
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 May 2, 2017 #64 ni ngumu said: Mimi hata wewe huna option ya kuforce nikupe hela km nishakulala? Click to expand... Na utanilalaje bila kuonja tamu ya hela yako??
ni ngumu said: Mimi hata wewe huna option ya kuforce nikupe hela km nishakulala? Click to expand... Na utanilalaje bila kuonja tamu ya hela yako??
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,208 May 3, 2017 #65 rubii said: Na utanilalaje bila kuonja tamu ya hela yako?? Click to expand... Mbinu rubii mbinu...
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 May 3, 2017 #66 ni ngumu said: Mbinu rubii mbinu... Click to expand... unawapataga vichwani wendawazimu hao
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,467 Reaction score 1,238 May 4, 2017 #67 rubii said: Na utanilalaje bila kuonja tamu ya hela yako?? Click to expand... rubii...hujakutana na kina maprosoo wewe......unatoa na hela utampa wewe.
rubii said: Na utanilalaje bila kuonja tamu ya hela yako?? Click to expand... rubii...hujakutana na kina maprosoo wewe......unatoa na hela utampa wewe.
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,208 May 4, 2017 #68 rubii said: unawapataga vichwani wendawazimu hao Click to expand... Hahaha sijawahi kuona mwanamke mjanja+anapenda hela...wanawake wote wagumu kuwapata uwaga hawapendi pesa...
rubii said: unawapataga vichwani wendawazimu hao Click to expand... Hahaha sijawahi kuona mwanamke mjanja+anapenda hela...wanawake wote wagumu kuwapata uwaga hawapendi pesa...
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 May 4, 2017 #69 ni ngumu said: Hahaha sijawahi kuona mwanamke mjanja+anapenda hela...wanawake wote wagumu kuwapata uwaga hawapendi pesa... Click to expand... Haya.
ni ngumu said: Hahaha sijawahi kuona mwanamke mjanja+anapenda hela...wanawake wote wagumu kuwapata uwaga hawapendi pesa... Click to expand... Haya.