Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
- Thread starter
-
- #41
Ha ha ha ha ha ha ha, ila bado unakuwa most wanted na pia mlolongo wake wa kukimbia unahitaji watu wengi kama ilivyofanyika kabla ya kuingia kwenye ndoa na pia ile hadhi ya kuwa mwanandoa haifutiki inabadilishwa jina kidogo tu inabaki kuwa aliyeachika au kuachwa aliolewa au alioa fulani, tofauti na bachelors wao wakishindwana kila mtu anakwenda kivyake hakuna wa kuhoji
Passion Lady:Nmependa hii maneno yako ati "kupendana raha bana! ".haha acha ajidai tu jamaa kitaani kwetu ka ndo ivo?
Acheni kumsingizia shetani kila kitu... Shetani wmenyewe siku hizi anawaogopa kwa jinsi mlivyomzidi dhambi... BY the way, we ndo yule Tetra wa Lisa wa makalio na mkopo wa mil 1?::
Mitihani ya mapenzi siku hizi inatungwa kwa Shetani kabisa.
Na inaanza kufanyika kabla,ndani na baada ya ndoa.
Cheti unapata ukiondoka duniani.
=
::
Uko sahihi,tena sana,sawa kabisa.
Yapo ambayo shetani nae anashangaa na mengine atakana mbele za Mungu hahusiki.
LAKINI yapo ambayo shetani hakwepi lawama,majaribu anayaleta makusudi kuvuruga maisha ya ndoa na kutuacha tunaumana meno.
Ukitaka kujua hilo subiri uyaone.
Naam mie ndie Tetra wa Lisa ila usimnukuu vibaya,,ametumia jina kama mfano ili kufikisha tatizo lake aone Jf kama familia tutamsaidia vipi.
Asante kwa uelewa Ngalikihinja
Tetra: umejibu vizuriiii hadi rahaaaa...!haha...kumbe ndo wewe??
ndio raha ya jf
furahi kwa raha zako!
Mtihani kabla ya ndoa upo.Maswali ni:1.Je unajua kutongoza?(wakati wa kumsaka Dinah) 2.Je unamkubali Dinah kuwa mke wako na utaishi nae ktk shida na raha?(limetungwa na kanuni za church,msikit au serikali,review iko kwa pastor/sheikh) 3.Mlishe keki Dinah mkeo.Yataendelea,ila tatizo format haieleweki kwani MC anaongeza maswali yaliyo out of syllabus.
Sio kweli
Kweli umenigawia rahaaaaa!ooh jf nakupendaje?oops!nmesemaje?
umesahau ulichokisema eeee
u love jf so much hahaa!
Passion Lady: you are so lovely...oops!mapanga shaaa shaaa hayooo nkimbie miye!hahaa oh jf...
mhhhhh!ngoja loya akusikie
unanisifia hivyo!