Hivi ni kweli?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Nimekuwa nasikia kuwa mwanaume 'mbantu' akiwa na uhusiano kimapenzi na mwanamke 'mhindi' basi mwanamke huyo akijulikana na jamii ya kihindi basi anauliwa.
Je ni kweli?
 
Back
Top Bottom