Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,055
Imefika kipindi najiuliza huyu Mungu tunayemsoma kwenye vitabu vya dini Quran na biblia anahuruma kweli watalaam mje mnieleweshe.
Hivi inakuaje watu wanateseka iwe kwa kupenda ama kuto kupenda mfano mtoto anazaliwa mlemavu wa viungo, mtoto anazaliwa anamatatizo ya moyo, ini figo ama mapafu maisha yake yanakua ya shida.
Pia wapo watu wazima wanateseka sanaa na magonjwa nikipita mitandaoni naona wanashida sanaa kiasi kwamba wanashindwa ata kujitibia hawana kipato mtu anaumwa moyo, cancer, figo zinafeli, mbaya zaidi masikini hajiwezi nabaki kutokwa na machozi.
Nimeapa siku nikipata kipato cha kutoka 10% ya kipato changu kitakua kwaajili ya kutoa misaaada ya watu wasiojiweza kumudu matibabu ya matatizo makubwa sahii natoa kiasi kidogo mnoo ambacho ata dawa hakitoshi kwa huyo mgonjwa.
Inafika kipindi nawaza niwe mponyaji kwa njia yoyote iwe ya kienyeji ama hii ya kiroho najikuta nashindwa.. nimeamua nitafute hela 10% iwe kwa msaada tuu... Kwakweli naumia sanaa kuona watu wakiteseka na magonjwa na shida mbali mbali
Nikawa najiuliza Mungu ana huruma kweli.. Mungu muweza yote kwanini karuhusu watu wateseke hivi na wajute kuishi duniani maana hawakupenda kuzaliwa walivyo na hawakupenda wawepo duniani zaidi ya mapenzi yake yeye.. kwanini asiwaponye.
Ina maana wanadamu akina Malisa ndio wamekuwa na huruma kuliko Mungu wanachangisha michango watu watibiwe wapone au huyu tunayesimuliwa sio yeye yupo mwenyewe lakini kwanini iwe hivi