One thing you should Know... Mwanamke akimkataa mwanaume kama hataki kutongozwa na huyo jamaa.. kuna njia zake za kuonesha hivo, for huo mwanaume hata kama mbishi atakata tamaa.... Ukiona hivo, mkeo anapenda the way anafuatiliwa na jamaa, hivo hata akikataa anakataa in a way ya kuonesha jamaa akiongeza bidii atafanikiwa... But that is just my IMO....
hbr wandugu jana wakata nipo na shemeji yenu tuna vuta raha hapa tembo clab mara cm yake ikabeep nikaichukuwa kucheki ni namba ambayo naikumbuka sana mara sms NJOO CHUKUWA kisha sm ikaita kwasababu alikuwa mbali nikakutana ma sauta ya kiume bilakujua ninani kapokea likasema mbona nakubembeleza sana kama hutakik siuseme nami nika mjibu HATAKI sm ikakatwa gafla ilipo rudi nikamuliza vp unamfahamu huyu jamaa akasema tena nivizuri umepokea maana ananisumbua sana nikimuambia ninamtu hakubali nikampigia tena hakupokea nikachukua sm yangu nikampa aongee naye huku me nasikia likaanza SASA NDO MAMBO GANI UNAPA JAMAA YAKO SM APOKEE POA SITAKUPIGIA TENA ME NIKAROPOKA nausijaribu kuipiga tena sasa wandugu je ni kweli au ndo naibiwa
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">soree kwa kwenda ofu topik....hivi hicho kiwanja bado kinaexist.....?</span></font></font>
<br />Unaibiwa aisee! Walishahaidiana wakapeane sijui vinini ameona dili limebumbuluka.