Hivi ni kweli mpenzi wangu anavyosema au wizi??

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
472
95
hbr wandugu jana wakata nipo na shemeji yenu tuna vuta raha hapa tembo clab mara cm yake ikabeep nikaichukuwa kucheki ni namba ambayo naikumbuka sana mara sms NJOO CHUKUWA kisha sm ikaita kwasababu alikuwa mbali nikakutana ma sauta ya kiume bilakujua ninani kapokea likasema mbona nakubembeleza sana kama hutakik siuseme nami nika mjibu HATAKI sm ikakatwa gafla ilipo rudi nikamuliza vp unamfahamu huyu jamaa akasema tena nivizuri umepokea maana ananisumbua sana nikimuambia ninamtu hakubali nikampigia tena hakupokea nikachukua sm yangu nikampa aongee naye huku me nasikia likaanza SASA NDO MAMBO GANI UNAPA JAMAA YAKO SM APOKEE POA SITAKUPIGIA TENA ME NIKAROPOKA nausijaribu kuipiga tena sasa wandugu je ni kweli au ndo naibiwa
 
Wewe ndo unaiba kwani una uhalali gani kummiliki huyo demu
 
watu wana trick siku hizi acha kabisa...ndio au siyo yote yanaeza kua majibu sahihi...muamini aliyekuambia hata kama ni uongo...life goes on
 
Kumbe ndio maana pamoja na kwamba ng'ombe wanachinjwa kila siku lakini hawaishi!...........
Now i know.
 
kwani ukihisi unaibiwa_si na ww uibe,.....ss ww ulitegemea atakujibuje huyo shemeji yetu,...ila bado sijaona kosa la kuanza kudoubt hapo
 
Kutokana na maelezo yako inaonesha tayari wanamawasiliano ya mara kwa mara na haioneshi kama kweli anamsumbua wakati tayari amemjibu ana mtu kam anavyodai ila bado haioneshi kama tayari wanamahusiano kwani maelezo hayajitoshelizi kufikiria hivyo labda kuhisi tu. Kwa hiyo mwoneshe kama umepuuzia vile halafu kimya kimya endelea na uchunguzi utamdaka tu!
 
One thing you should Know... Mwanamke akimkataa mwanaume kama hataki kutongozwa na huyo jamaa.. kuna njia zake za kuonesha hivo, for huo mwanaume hata kama mbishi atakata tamaa.... Ukiona hivo, mkeo anapenda the way anafuatiliwa na jamaa, hivo hata akikataa anakataa in a way ya kuonesha jamaa akiongeza bidii atafanikiwa... But that is just my IMO....
 
umetujaza elimu nzuri sana hapa
 
hbr wandugu jana wakata nipo na shemeji yenu tuna vuta raha hapa tembo clab mara cm yake ikabeep nikaichukuwa kucheki ni namba ambayo naikumbuka sana mara sms NJOO CHUKUWA kisha sm ikaita kwasababu alikuwa mbali nikakutana ma sauta ya kiume bilakujua ninani kapokea likasema mbona nakubembeleza sana kama hutakik siuseme nami nika mjibu HATAKI sm ikakatwa gafla ilipo rudi nikamuliza vp unamfahamu huyu jamaa akasema tena nivizuri umepokea maana ananisumbua sana nikimuambia ninamtu hakubali nikampigia tena hakupokea nikachukua sm yangu nikampa aongee naye huku me nasikia likaanza SASA NDO MAMBO GANI UNAPA JAMAA YAKO SM APOKEE POA SITAKUPIGIA TENA ME NIKAROPOKA nausijaribu kuipiga tena sasa wandugu je ni kweli au ndo naibiwa

soree kwa kwenda ofu topik....hivi hicho kiwanja bado kinaexist.....?
 
kwani ulimkuta bikra? wacha ubwege wewe, mnaibiana wote, pia hacha kimbele mbele cha kukagua simu ya mlupo wako utakufa kwa presha kijana.
 
Unaibiwa aisee! Walishahaidiana wakapeane sijui vinini ameona dili limebumbuluka.
 
Usingepokea au asingekuwa nae wala usingejua
Yaani wamekutana na kupeana simu za mkononi na kuwasiliana anajifanya kukupa simu
Mhhh hapo nadoubt
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">soree kwa kwenda ofu topik....hivi hicho kiwanja bado kinaexist.....?</span></font></font>
<br />
<br />
kipo tena kierekebishwa vizuri
 
Ebu andika vizuri bana !!! Unaandika as if umeanza kindagarten una mwezi 1!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom