nico winto
Member
- Jul 2, 2017
- 34
- 27
Kuna ukweli happy?
Ngoja tumsubiri Happy.Kuna ukweli happy?
😂😂😂Ngoja tumsubiri Happy.
Kuna ukweli happy?
Kunywa ukamtukane mchawi uje na mrejeshoKuna ukweli happy?
FactKuna ukweli happy?
Mchawi anapowanga usiku akakutana na mlevi, hupita mbali. Wanafahamu kilaji kwa kubumbulua issue kiko vizuri..Fact


Namaanisha hapoKwani happy yeye kasemaje kwanza?
Anayerogeka ni yule mjinga na anayejitambua sababu kuroga ni kucheza na akili ya mtu tu. Sasa mtu mlevi unamrogaje, unachezaje na akili yake?Kuna ukweli happy?