Hivi ni kweli Mchaga na Mkikuyu ni kabila moja?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Katika pitapita zangu nimesikia kuwa wachagga wa Tanzania na wakikuyu wa kikenya ni kabila MOJA.......

Lakini upande wa pili tunaambiwa mchagga akiwa Kenya anaitwa mkikuyu na mkikuyu akiaa uku anaitwa mchagaaaaa.

Je ni kweli
 
Discussing people.....events.....and even ideas! What a blend of jf peoples!
 
Kampuni moja..

Mwezi wa 12 Nairobi yote inakuwa imetulia na Foleni hakuna maana Wakikuyu wanarudi makwao kula Xmas....Sasa jiulize Dar mwezi wa 12 kuna kuaje..
 
Kimsingi Wachaga siyo kabila. Wachaga ukiwa-zoom, ndani yake utakuta kuna wanaoendana na Wakikuyu. Kuna mdau hapo juu kasema wakibosho wanaasili ya umasaini. And the list goes on.
 
Kwa nilivyosikiaga kwa wazee wa zamani wanasema wachaga(marangu) na wakikuyu wote ni asili 1 na wote hao ukifuatilia historia yao wanatokea kule Ethiopia sikumbuki sehemu gani hasa... Ukitaka kidogo kujiaminisha kwenye hilo fuatilia baadhi ya wachaga wanakuwaga kama wanaonekana kama vile wapemba au waharabu koko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom