Hivi ni kweli? Kuna ukweli wowote?

Inamana mnaacha ku enjoy mgegedo mnakaa na saa kitandani kama marefa duh...
Ndio mana wauza dawa wanapiga tu hela asee watu mnaingia kwny mechi hamja relax mnawaza dakika
 
Kwa vile ni utafiti basi hatuwezi kupinga kwa , ila kama umeizoea K na joto lake, i believe you can go beyond 10-30mins without shida yoyote.
 
Inategemea na siku yenyew, kuna sku mwili na akiki inakua so relaxed unaweza kuenda hta 15 minutes
 
Back
Top Bottom