GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,727
- 128,228
Jamaa anataka huhongwa na wadada yaani yuko kipesa zaidi.kama punyeto unaihimili,,, mademu wa nini,,,, mbwiga wewe starehe jipe alone....
Jamaa anataka huhongwa na wadada yaani yuko kipesa zaidi.
tunawapoteza vijana wetu,,, yaani akili yake kwenda kuloga apate jimama la kumtunza,,,,na aende tuu ataona mwisho wake....
Exactly! Umenena mkuuUmri wako ni mdogo sana kwa wewe kufikiria vitu vya ajabu kama hivyo ulitakiwa uwe shule na uwe na ndoto zakua mtu mkubwa baadae lakini akhhhhhhhhhhhhhh,hao wanaofanya hivyo ujue hapo wameshaona kua hawatoboi tena kimaisha
na niwanaume jina sio wanaume anaeitwa RIJALI anaetunza na kujua kua yeye ni mwanamme na niwajibu wake kupambana
ili afanikishe,mwanamme anaekwenda kuroga mwanamke ampe hela au gari au amtake ujue huyu anaweza hata kuambiwa
hata vua suruali akavua kwakutaka vya rahisi, wakiambiwa kamuue mzazi wako atakwenda,kafanye mapenzi na mzazi wako atakwenda sababu hapendi kuishughulisha akili yake...sasa watu kama hao jaribu kukanao mbali wasikuharibu akili,bado wewe ni kijana mdogo na una safari ndefu...
Nimekuwa nikibishana sana na wadau kuwa hakuna dawa ya mapenzi na ni uwongo mtupu huku nikishikilia imani yangu kuwa binadamu hatutakiwi kuwa washirikina na tunapashwa kumtumainia mwenyezi mungu tu.
lakini cha kunistaajabisha nimejikuta nikiona wenzangu wakienda kwa waganga mbalimbali kupewa dawa za kuwapata akina dada mbalimbali maarufu na matajiri na hata hizo hirizi zao wananionyesha na wengi wao sasa maisha yao ni mazuri.
Kwani wameikamata kindumba mijidada ya hadhi na mijimama kiasi kwamba hata mimi sasa nashawishika kujiingiza katiki ulingo huo wa kutumia ndumbazi kupata akina dada na kuachana na imani yangu ya kidini kwani nina miaka 25 sasa ya kuamini mola pekee na sina demu mkali na wala hawanitamani hivyo najikuta naishia tu kupiga nyeto.
Naombeni kujua je ni kweli kuna dawa katiki mapenzi na je hao waganga wazuri wako wapi? kwani nina listi ya mademu na majimama nataka nikaitengeneze kindumba nami nijibwedee tu kiulaini huku nikilelewa na kumlia vyake ila nasikia kuwa hizo dawa unatakiwa kuzirinyunyuzia kila mara na ukisahau tu mapenzi yanakuwa shubiri.
Karibuni.