Hivi ni kweli Diamond ni maarufu?

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,334
Mimi nimpenzi wa nyimbo za kizazi kipya ila napata shida sana kila kitu Diamond kweli jamani wana jf nikweli hakuna waimbaji wakali ila diamond?

Tuseme ukweli some body there anauwa vipaji vizuri vya vijana wa mziki wa kizazi kipya sii kweli diamond anawashinda watu wengine ila ikumbukwe wapo waimbaji wazuri sana kuliko diamond nawanawekwa bench kisa hawana kitu tunaitaji chombo chakudhibiti hii hali rushwa ktk soko la mziki, akitoa gari diamond, akifanya hiki diamond inamaana wanamziki wengine kwa sababu hawajawapa wazazi magari hawawapendi wazazi wao?

Huu ni unafiki na ujinga ktk soko la Mziki
 
Hahahahahah mkuu hujui kwamba domo ndiye mtanzania wa kwanza kutembea na mbwa ughaibuni?
 
"wana wivu hao hao wachonganishi hao hao" unaambiwa sasa hivi ni mwendo wa vipara.(double meanings)
 
anajua jinsi ya kucheza na akili za watu na ndo mana anakuwa supported ktk kila anachofanya,,,kuandikw kwny gazet kwa mazur na mabaya, kutafuta fursa kwa vyovyote
 

Komaa na kazi na kipato chako... achana na maisha ya watu
 
anajua kujipendekeza wengiune nyodo mbele kuliko kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…