Mm nilidhani ni sisi tunaoitwa vilaza pekee,kumbe mpaka kwa hao wenye akili pia wanasoma ,Muhas, sfuchas, cuhas
KutoshelezaView attachment 361905 leo. Bugando wambandika hii kitu
Kweli namba inasomeka ila one day yataisha japo kwa shida....
Huu ni u***** kwa kweli, sema tu naogopa kupelekwa kisutu, ila napata mashaka sana kama mkulu ataweza kuliokoa hili jahazi maana hawajatuma ada,tuition fee wala hela ya field.View attachment 361905 leo. Bugando wambandika hii kitu
Kweli namba inasomeka ila one day yataisha japo kwa shida....
Huu ni u***** kwa kweli, sema tu naogopa kupelekwa kisutu, ila napata mashaka sana kama mkulu ataweza kuliokoa hili jahazi maana hawajatuma ada,tuition fee wala hela ya field.
Pole Sana Dr. Usisome kwa hasira. Maana itakuwa hatari Sana baadae. Tuendelee kumuomba Mungu hizo fedha zitatoka tu. Chuoni kwetu Leo fedha zimetoka. Nafikiri hata nyie siku si nyingi watawapatia.Huu ni u***** kwa kweli, sema tu naogopa kupelekwa kisutu, ila napata mashaka sana kama mkulu ataweza kuliokoa hili jahazi maana hawajatuma ada,tuition fee wala hela ya field.
Chuo gani zimetoka.Pole Sana Dr. Usisome kwa hasira. Maana itakuwa hatari Sana baadae. Tuendelee kumuomba Mungu hizo fedha zitatoka tu. Chuoni kwetu Leo fedha zimetoka. Nafikiri hata nyie siku si nyingi watawapatia.
almost vyuo vyote wanafunz hawajapata pesa zao zotee kamaIngekua vizuri kama ungetaja hivyo vyuo ambavyo mpaka sasa wanafunzi wake hawajapata mkopo... huwezi jua labda wale mashushu wa Mheshimiwa wanaweza wakapitia humu na kufikisha taarifa yako kwake.. .
Naona jamaa wamekanusha. Kuna statement kwenye facebook page yao...nimeibeba na kuiweka ...Inasema hivi:Salaam Wakuu,
Hii imekuwa ni tofauti kama utaratibu unavyopasa. Kikawaida,wanufaika wote wa mikopo kutoka HESLB wamekuwa wakipewa fedha za kujikimu kila baada ya siku 60 yaani miezi miwili. Lakini mpaka sasa kuna vyuo ambavyo imeshapita mpaka miezi mitatu na huu tunaelekea wa 4 (yaani mwezi mmoja mbele zaidi ya kipindi kinachopaswa) hakuna fedha za kujikimu kwa wanufaika.
Kila jitihada zinapofanyika bodi wanadai fedha hakuna mpaka wazipate kutoka hazina. Sasa cha kujiuliza,je hazina haioni umuhimu wa kutoa hizi fedha? Je,ni kweli hazina haijatoa fedha au bodi ndo inazingua?
Hali imekuwa mbaya vyuoni. Hakuna pesa kwa ajili ya matumizi ya chakula. Mbaya zaidi kuna wengine wanategemea kutumia fedha hizo kwa ajili ya kulipia ada (sehemu iliyobaki). Mitihani inatarajia kuanza wiki ijayo na wale ambao hawajakamilisha malipo ya ada hawaruhusiwi kufanya mitihani.
Jamani,Hazina tunaomba roho ya huruma iwaingie. Hizi fedha hatuzipati kama msaada. Ni za kuzirudisha tena ikiwa na riba. Hii ni haki yetu ya Msingi kabisa.
Dada zetu huku chuoni wanaangamia. Hatujui kinachowaweka mjini kwa sasa. Hakika kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia ambacho siyo kwa matakwa yao Bali ni hali mbaya ya kiuchumi inayotokana na kuchelewa kwa fedha hizo.
Mh Rais uliahidi kwamba wanafunzi watapewa fedha zao kwa wakati. Hazina ipo chini yako na hakika kauli yako ndo itawalazimu kutoa hizo fedha. Tunakuomba Mkuu wetu utusaidie. Hali inasikitisha.
Hata kupiga msuli hauingii. Madude hayapandi kichwani kwa sababu tumboni kupo empty.[/COLOR=RED]
Nimeandika kwa rangi nyekundu maana hakika Uzi huu ni wa masikitiko.